Sunday, November 29, 2020

Akina Samatta wapiga mtu 3-1 Ulaya

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA MWANDISHI WETU,

KIKOSI cha Genk cha nchini Ubelgiji anachochezea Mtanzania Mbwana Samatta, kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Sassuolo ya nchini Italia, mchezo wa michuano ya Europa League.

Samatta, ambaye alikosa michezo miwili kutokana na majeraha yaliyokuwa yakimkabili, aliingia kipindi cha pili katika dakika ya 75 kuchukua nafasi ya Nikolaos Karelis, ambaye alifunga bao katika ushindi huo.

Michezo miwili ambayo Samatta aliikosa kutokana na majeraha hayo yaliyokuwa yakimkabili ni ule wa Ligi Kuu nchini humo dhidi ya Anderlecht, wakifungwa mabao 2-0, na wa Kombe la Ligi dhidi ya Eendracht, wakiibuka na ushindi wa mabao 4-0.

Nahodha huyo wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ aliumia katika mchezo wa kwanza wa kundi F Europa League, dhidi ya Rapid Viena uliochezwa Septemba 15, mwaka huu, Genk wakifungwa mabao 3-2.

Kikosi hicho cha akina Samatta kinashuka tena katika uwanja wao wa nyumbani kuwakabili Mechelen, mchezo wa Ligi Kuu nchini humo ambao ni muhimu sana kwao kushinda ili kupanda hatua chache kwenye msimamo, kwani kwa sasa wapo nafasi ya 10 wakiwa na pointi 10.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -