Thursday, October 29, 2020

ALI KIBA AIKACHA COASTAL UNION

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA MWANDISHI WETU


NYOTA wa Bongo Fleva, Ali Kiba, amelazimika kuikacha kwa muda kambi ya mazoezi ya klabu ya Coastal Union ‘Wagosi wa Kaya’ ya Tanga na kujumuika na mastaa wenzake wa muziki Afrika katika tamasha la Africa All Star Music, linalofanyika leo usiku huko Toronto, nchini Marekani.
Ali Kiba, ambaye hivi karibuni alionekana kwenye kambi ya mazoezi ya Coastal Union akijinoa kwa mazoezi tayari kuichezea klabu hiyo katika Ligi Kuu Tanzania Bara, aliwasili juzi usiku Marekani kushiriki tamasha hilo kubwa la muziki linalofanyika kila mwaka.
Mbali na Kiba, mastaa wengine watakaokonga nyoyo za mashabiki kwenye tamasha hilo litakalofanyika katika ukumbi wa Rebel ni Yemi Alade, Falz, Zahara, Sheebah, Dj Spinall, Nonso Amadi na Nsoki.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -