Sunday, January 17, 2021

Ali Kiba alipania jukwaa la MTV MAMA 2016

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

NA WINFRIDA MTOI,

SIKU kadhaa baada ya uongozi wa runinga ya MTV Base inayoandaa tuzo za MTV MAMA 2016, kumtangaza nyota wa Bongo Fleva, Ali Kiba kuwa ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza, mkali huyo amesema amejiandaa vyema.

Akizungumza na Papaso la Burudani, Ali Kiba, ambaye pia anawania tuzo ya Wimbo Bora wa Kushirikiana kupitia wimbo wake na Sauti Sol unaoitwa Unconditionally Bae, alisema kuwa siku ya utolewaji wa tuzo hizo Oktoba 22 mwaka huu, amepanga kuandika historia mpya ya burudani.

“Nimejiandaa vizuri kufanya shoo na live band, onyesho bora, kubwa na la kitofauti. Kwa upande wa tuzo unajua  unapokuwa na mashabiki wengi na watu wakishajua upo kwenye kipengele fulani inatosha, unatumia nguvu ndogo kuwashawishi wakupigie kura sababu tayari wana mapenzi na wewe,” alisema Kiba.

Mbali na Kiba, wasanii wengine watakaotumbuiza usiku huo ni Kwesta, Emtee, Diamond Platnumz, Cassper Nyovest na YCEE, huku kundi la Navykenzo likiwania tuzo ya kundi bora.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -