Saturday, October 31, 2020

ALIYEIUA SIMBA NJE WIKI MBILI

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA SALMA MPELI

STRAIKA wa Azam, John Bocco na kiungo wa timu hiyo, Stephan Kingue, watakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili kutokana na kuwa majeruhi.

Bocco alifunga bao 1-0 Simba katika mchezo uliopita wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa wiki iliyopita kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dares Salaam.

Akizungumza na BINGWA jana, daktari wa timu hiyo, Mwanandi Mwankemwa, alisema wachezaji hao watakaa nje ya uwanja kwa muda wakipatiwa matibabu.

Mwanandi alisema wachezaji hao walipata majeraha ya misuli ya paja kwenye mchezo huo, huku wengine  Salum Abubakari, Mwadini Ally (nyama za paja) na beki Shomari Kapombe, ambaye ni mgonjwa lakini hivi sasa anaendelea vema.

“Wachezaji wanaendelea vizuri lakini Bocco na Kingue watakaa nje ya dimba kwa muda wa wiki mbili na Mwadini atapumzika kwa siku tatu (kuanzia jana),” alisema.

Mwankemwa alisema, wachezaji hao wataanza mazoezi mepesi baada ya wiki moja kujiandaa na michezo mbalimbali inayoikabili timu yao.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -