Tuesday, November 24, 2020

ALMANUSURA NDEMLA ATUE ASANTE KOTOKO

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA EZEKIEL TENDWA,

KAMA si kumaliza usajili kabla ya kumchukua kocha wa zamani wa Simba, Zdravko Logarusic, huenda kiungo wa Wekundu hao wa Msimbazi, Said Ndemla, angetua katika kikosi cha Asante Kotoko cha nchini Ghana.

Kocha huyo ambaye kabla ya kutua hapo msimu huu alikuwa akiifundisha Inter Club ya nchini Angola, amesema hakufanya usajili wowote katika kikosi hicho cha Kotoko kwani alifika dirisha la usajili likiwa limeshafungwa na kama isingekuwa hivyo angeangalia uwezekano wa kumchukua Ndemla.

Loga ameyasema hayo baada ya BINGWA kumuuliza kwanini asichukue mchezaji yeyote kutoka Simba akiwapo Ndemla ambaye alikuwa akimhusudu wakati huo akiwa nchini Tanzania ndipo akasema usajili ulishafungwa.

“Nakubaliana na wewe kuwa Ndemla ni moja ya wachezaji wazuri sana na kocha yeyote angependa kuwa naye, ila mimi hapa nimekuja usajili ukiwa umefungwa hivyo siwezi kufanya chochote,” alisema.

Katika msimamo wa Ligi Kuu nchini Ghana, Kotoko wapo nafasi ya pili wakiwa na pointi 10 katika michezo minne waliyokwisha kucheza mpaka sasa wakishinda michezo mitatu na kutoka sare mmoja wakiwa hawajapoteza mchezo wowote.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -