Tuesday, October 27, 2020

AMIS TAMBWE AWAPOTEZEA SIMBA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA FRANCIS MACHA (TUDARCO)

MSHAMBULIAJI wa timu ya Yanga, Amis Tambwe, amesema mechi yao dhidi ya Simba Jumapili ni ya kawaida kama zilivyo mechi nyingine walizocheza hadi sasa.

Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, straika huyo alisema ushindi wanaoupata kila mechi wanayocheza unawapa nguvu ya kusonga mbele na hajaona timu ngumu ambayo inaweza kuwasumbua.

“Mimi siumizwi kichwa na mechi ya Simba, kwa upande wangu naona mechi dhidi ya timu ndogo ndogo kama Singida na Mbeya City ndio zinakuwa ngumu, kwa sababu timu hizo huwa zinakamia sana kukutana na timu kubwa ili kuweza kupata matokeo mazuri, hivyo kutufanya tujitume zaidi, kifupi mchezo wa Yanga na Simba huwa hauna ushindani mkubwa,” alisema Tambwe.

Hata hivyo, Tambwe alizungumzia kuhusu ufungaji wake akisema si lazima afunge kwa kichwa kama wengi wanavyodai, bali anaangalia mpira umekuja vipi na anatumia kiungo chochote kufunga.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -