Monday, October 26, 2020

AMUNIKE AMTAJA FEI TOTO

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

|     NA MWAMVITA MTANDA            |             


 

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mnigeria Emmanuel Amunike, ameweka wazi mbinu alizotumia kuchagua kikosi chake, akiwamo Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ ambaye hajawahi kumwona ‘live’ akikipiga.

Amunike juzi alitangaza kikosi cha wachezaji 25 kwa ajili ya mechi ya kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Uganda itakayochezwa Septemba 8, mwaka huu mjini Kampala.

Akizungumza na BINGWA jana, Amunike alisema kutokana na uzoefu wake katika soka, huwa anatumia muda wake mwingi kusoma vikosi vya timu mbalimbali, hivyo hata kabla ya kuitwa timu ya taifa, tayari alikuwa anawafahamu uwezo baadhi ya wachezaji.

Amunike alisema tofauti na hilo, alivyofika nchini alipata muda wa kuhudhuria mechi mbili zilizomsaidia kuwaona vizuri wachezaji.

Alizitaja mechi hizo kuwa ni ile ya Simba na Arusha United, ilichezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, mjini Arusha na Yanga walipocheza na USM Alger, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

“Huwa natumia muda wangu kusoma vikosi vya timu mbalimbali mitandaoni, kabla sijafika Tanzania, tayari nilijua wachezaji wake walivyo, pia hivi karibuni nilipata muda wa kuona mechi mbili, Simba na Arusha United na Yanga dhidi ya USM Alger,” alisema Amunike.

Juu ya Fei Toto ambaye hajawahi kumwona ….

Kwa habari zaidi jipatie nakala ya gazeti la MTANZANIA.
- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -