Thursday, November 26, 2020

ANCELOTTI AMFAGILIA ZIDANE

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

MUNICH, Ujerumani

KOCHA wa Bayern  Munich, Carlo Ancelotti, amemfagilia mwenzake, Zinedine Zidane, kwa kuijenga Real Madrid wakati akijiandaa kuwavaa vinara hao wa Hispania katika mechi yao ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa.

Ancelotti atakutana dhidi ya kikosi hicho cha  Zidane kwa mara ya kwanza wakati Bayern watakapoivaa Real  Madrid katika mchezo huo wa kwanza ambao utapigwa mjini Munich Aprili 12 mwaka huu.

Kwa sasa miamba hao wawili ndio wanaaongoza kwenye misimamo ya ligi na mtanage huo unatajwa kuwa utakuwa ni wa aina yake, huku Ancelotti akiangalia jinsi atakavyowakabili waajiri wake hao wa zamani.

“Zidane ni maarufu Madrid ana heshima,” Ancelotti aliliambia jarida la  Journal du Dimanche la nchini Ufaransa.

. “Wakati akichaguliwa kuwa kocha, Real Madrid walikuwa hawafanyi vizuri lakini amewaongeza nguvu,” aliongeza kocha huyo.

“Zidane ni mtu mnyenyekevu lakini mwenye kisimati cha hali ya juu na kocha jambo hilo ndilo la msingi. Wakati alipokuwa msaidizi alikuwa akitaka kujifunza na alinisaidia kwa mengi katika uhusiano wetu na Karim Benzema,” aliongeza kocha huyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -