Saturday, October 31, 2020

ARSENAL KUKUTANA NA WABAYA WAO RAUNDI YA NNE FA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LONDON, England


USIKU wa kuamkia jana, Liverpool ilijikatia tiketi yao ya kucheza raundi ya nne ya Kombe la FA, baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Plymouth ugenini.

Kwa matokeo hayo, vijana hao wa kocha, Jurgen Klopp, wataikaribisha Wolverhampton kwenye dimba la Anfield mwishoni mwa Januari, huku Arsenal kwa mara nyingine ikitarajiwa kukutana na klabu ya Southampton kwenye dimba la St. Mary’s.

Southampton ilitinga raundi ya nne baada ya kuinyuka Norwich bao 1-0, vinara wa Ligi Kuu England Chelsea watakutana na Brentford kwenye mchezo utakaopigwa kwenye dimba la Stamford Bridge.

Ratiba kamili ya raundi ya nne FA Cup
Januari 27, 2017:
Derby v Leicester
January 28, 2017:
Liverpool v Wolverhampton
Crystal Palace v Man City
Middlesbrough v Accrington Stanley
Blackburn v Blackpool
Burnley v Bristol City
Rochdale v Huddersfield Town
Chelsea v Brentford
Lincoln v Brighton
Oxford United v Newcastle
Tottenham v Wycombe
Southampton v Arsenal

January 29, 2017:
Millwall v Watford
Fulham v Hull City
Sutton Utd v Leeds Utd
Man United v Wigan AthleticK

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -