Friday, October 23, 2020

‘ASISTI’ ZA RONALDO ZAMKOSHA ALLEGRI

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

TURIN, Italia

KOCHA wa timu ya Juventus, Massimiliano Allegri, amemsifu staa wake, , kwa kuchangia upatikanaji wa bao kwa mara nyingine tena wakati timu yake hiyo ilipoibamiza Napoli mabao 3-1 wikiendi iliyopita.

Ushindi huo ni wa saba mfululizo kwa vinara hao Serie A, wakikalia kiti cha uongozi wa ligi hiyo mbele ya Napoli inayokamata nafasi ya pili.

Napoli walianza kuzitikisa nyavu za Juve kupitia kwa mshambuliaji, Dries Mertens, kabla Ronaldo hajamimina krosi tamu iliyotua kwa Mario Mandzukic na kusawazisha bao hilo kwa upande wa Juve.

Bao la pili la Juve lilifungwa na beki, Leonardo Bonucci aliyeunganisha kwa mguu mpira ambao ulipigwa na Ronaldo kwa kichwa, huku Mreno huyo naye akikosa nafasi kadhaa za wazi.

“Nadhani Ronaldo anafurahia kucheza soka. Ukiachana na mabao ambayo kwake ni kama chakula, pia anafurahia kutoa pasi za mwisho,” alisema Allegri.

“Pasi zake zilikuwa ni za uhakika. Nadhani mchezo wa leo (juzi) pamoja na ule dhidi ya Valencia imekuwa bora zaidi kwake kwa sasa,” aliongeza.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -