Monday, November 23, 2020

AT YAFURAHISHWA NA MWENENDO WA KILIMANJARO MARATHON

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA MWANDISHI WETU

CHAMA cha Riadha Tanzania (AT) kimeeleza kufurahishwa na jinsi mbio za Kilimanjaro Marathon zinavyoandaliwa na kuendeshwa na pia kuimwagia sifa Kilimanjaro Premium Lager kwa kuwa mdhamini mkuu tangu kuanzishwa kwa mbio hizo.

Akizungumza jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa AT, Wilhelm Gidabuday, alisema haya ndio mashindano makubwa ya riadha Tanzania kwa sasa na yanazidi kuwa makubwa kwa sababu ya udhamini mnono na maandalizi mazuri.

“Mdhamini kama Kilimanjaro Premium Lager amekuwapo kwa miaka 15 sasa wakati mbio hizi zilianzishwa na hii ni dalili nzuri kwani inawapa waandaaji fursa ya kujiandaa vizuri na kwa wakati,” alisema.

“Tunapenda kutoa rai kwa wadhamini wengine pia waige mfano huu. Tumeshuhudia kampuni kama Tigo ikijiosa kwenye mbio za kilomita 21 kwa mwaka wa tatu sasa na mbio hizo zinafanya vizuri sana wakati Gapco wamejikita katika mbio za walemavu kwa mwaka wa saba sasa na Grand Malt wamekuwa maarufu sasa kwa mbio za kilomita 5,” alisema.

Wadhamini wengine ni CMC Motors, Kilimanjaro Water, KK Security, Ashanti Gold, TPC, Kibo Palace Hotel, Keys Hotel, KNAUF Gypsum, FNB na Rwanda Air.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -