Tuesday, November 24, 2020

AUBAMEYANG AWAWEKA ROHO JUU VIGOGO ULAYA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

DORTMUND, Ujerumani


STRAIKA Pierre-Emerick Aubameyang, amewaweka juu vigogo wa soka Ulaya, baada ya kukataa kuzungumza chochote kuhusu hatima yake kwenye klabu yake ya Borussia Dortmund.

Hali hiyo inasemekana kuzifanya timu za Real Madrid, Manchester City, Arsenal,  na Manchester United kukaa mkao wa kula kutokana na kuwa ndizo kwa sasa zinazohusishwa kumfukuzia staa huyo wa timu ya Taifa ya Gabon na hivyo hatua hiyo itaweka hai matumaini ya kumsajili straika huyo.

“Sifahamu kama nitaweza kubaki. Nadhani ninachokiwaza ni kucheza vizuri. Nataka kujitolea kwa kila kitu na tuweze kutwaa ubingwa. Ninachokiwaza ni mchezo na hakuna kingine,” alisema nyota huyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -