Wednesday, October 28, 2020

 Aussems: Ukosefu wa Kotei, Bocco na Nyoni hautunyimi ushindi

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

                  Lulu Ringo, Dar es Salaam

Kocha mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema licha ya kuwakosa wachezaji wake muhimu James Kotei, John Bocco ana matumaini na wachezaji wake waliobakia kwani kikosi cha simba ni kipana na hakitegemei wachezaji hao tuu.

“Simba haiwategemei Bocco, Kotei na Nyoni , tunawachezaji wengi sana na wote wamejiandaa kuikabiliana na michezo iliyopo mbele yetu “. Amesema Aussems

Simba itawakosa wachezaji hao katika baadhi ya michezo ikiwemo mchezo wa jumapili hii Octoba 21 dhidi ya Stand ambapo John Bocco kukosa mchezo huo ndio itakua adhabu yake ya mwisho baada ya kukosa mchezo dhidi ya Yanga na African Lyon toka alipopewa kadi nyekundu katika mchezo dhidi ya Mwadui.

James Kotei na Erasto Nyoni walifungiwa na kamati ya maadili kutoshiriki michezo mitatu mfululizo baada ya kugundulika kuwa na makosa katika baadhi ya mechi, adhabu za wachezaji hao zitaanza kuhesabika kuanzia mechi ya Jumapili na Stand na zinatakazofuata.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -