Wednesday, September 30, 2020

Bingwa

KISA KONA YA CARLINHOS… ...

NA ZAINAB IDDY BAO la Yanga lililofungwa na Lamine Moro juzi katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar kutokana na mpira wa kona uliochongwa na Carlos Carlinhos, limewaibua vigogo wa Wanajangwani hao na kuitisha kikao...

HUYU MUGALU ATAWALAZA WATU NA VIATU TU!

NA ONESMO KAPINGA HAKIKA sijapata utamu wa mshambuliaji mpya wa Simba, raia wa DR Congo, Chris Mugalu,kutokana na jinsi anavyochezesha katika kikosi hicho. Mugalu ni miongoni mwa wachezaji wapya wa kigeni...

Wachezaji Gwambina wapewa muda

NA ZAINAB IDDY KOCHA wa timu wa  Gwambina, Fulgence Novatus, amesema amewapa muda wachezaji wake  ili aweze kutathimini kiwango cha kila mmoja. Gwambina inayoshiriki kwa mara ya kwanza ligi hiyo,  haijashinda katika...

Kisu amfunika vibaya Manula

NA ZAINAB IDDY KIPA  wa timu ya Azam, David Kisu, amemfunika Aishi Manula  wa Simba kutokana na kutoruhusu bao katika michezo minne ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Kisu aliyesajiliwana...

Zahera awapa Simba taji mapema

NA ZAINAB IDDY BAADA ya Gwambina kufungwa mabao 3-0 na Simba  katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Mkapa, jijini Dar es Salaam,  Mkurugenzi  wa timu hiyo,  Mwinyi...

Wachezaji Simba wapewa nondo za Al Ahly

ASHA MUSSA NA GODFREY PAUL (TUDARCo) WACHEZAJI wa Simba wamepewa semina bab kubwa inayolenga kuwajenga zaidi ili kutimiza majukumu yao ipasavyo. Semina hiyo iliwahusu pia wafanyakazi wengine wa klabu hiyo, likiwamo...

MASHABIKI SIMBA WAPEWA MTIHANI

NA ZAINAB IDDY MASHABIKI wa Simba wapo katika mtihani wa aina yake kutokana na yanayoendelea ndani ya klabu yao, yakiwa yamechochewa kwa kiasi kikubwa na Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Wekundu wa Msimbazi hao,...

Azam FC yakiri Mbeya City kiboko

NA WINFRIDA MTOI LICHA ya kuchukua alama tatu kwa Mbeya City, uongozi wa Azam FC umekiri haikuwa kazi rahisi kutokana na soka walilocheza wapinzani wao. Azam juzi ilifanikiwa kushinda bao 1-0...

Niyonzima ala kiapo mechi za ugenini

NA ZAINAB IDDY NAHODHA msaidizi wa Yanga, Haruna Niyonzima, amesema kuwa mipango ya timu yao ni kuwa na mwendelezo wa kuvuna alama tatu katika mechi zote za ugenini za Ligi Kuu Tanzania Bara.

Yanga achana nao

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga umekuja na mkakati maalum wa kuhakikisha wanakusanya pointi tatu kila mchezo, wakianzia mechi dhidi ya Mtibwa Sugar, Jumapili hii. Yanga inatarajia kushuka dimbani katika mchezo...

About Me

5213 POSTS
0 COMMENTS
- Advertisement -

Latest News

KISA KONA YA CARLINHOS… ...

NA ZAINAB IDDY BAO la Yanga lililofungwa na Lamine Moro juzi katika mchezo dhidi...
- Advertisement -

HUYU MUGALU ATAWALAZA WATU NA VIATU TU!

NA ONESMO KAPINGA HAKIKA sijapata utamu wa mshambuliaji mpya wa Simba, raia wa DR Congo, Chris Mugalu,kutokana na jinsi...

Wachezaji Gwambina wapewa muda

NA ZAINAB IDDY KOCHA wa timu wa  Gwambina, Fulgence Novatus, amesema amewapa muda wachezaji wake  ili aweze kutathimini kiwango cha...

Kisu amfunika vibaya Manula

NA ZAINAB IDDY KIPA  wa timu ya Azam, David Kisu, amemfunika Aishi Manula  wa Simba kutokana na kutoruhusu...

Zahera awapa Simba taji mapema

NA ZAINAB IDDY BAADA ya Gwambina kufungwa mabao 3-0 na Simba  katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...