Tuesday, October 20, 2020

Bingwa

Rooney ahofia kupata corona

LONDON, England NAHODHA wa Derby County,Wayne Rooney, amelazimika kupima virus vya corona huku akihofia huenda amepata maambukizi. Rooney alijawa na hofu hiyo baada ya rafiki yake ambaye alipata maambukizi ya virusi...

RC Mwanza alivyozidua usajili mbio za Rock City Marathon 2020:NA MWANDISHI WETU, MWANZA

JUZI Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, alizindua rasmi usajili wa mbio za Rock City Marathon msimu wa 11, huku akitoa wito kwa wadau mbalimbali kutoka Kanda Ziwa kushiriki kikamilifu katika kufanikisha maandalizi ya mbio.

Mwadui wakomalia mabao ya mipira iliyokufa

NA ZAINAB IDDY KOCHA wa timu ya Mwadui, Khalid Adam,ameweka wazi kuanzia sasa atawaandaa baadhi ya nyota wake kwa ajili ya kupiga mipira iliyokufa kwa usahihi ili waweze kuvuna mabao mengi msimu huu wa...

Katwila basi tena Mtibwa Sugar

NA ZAINAB IDDY HATIMAYE  kocha wa timu ya Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila, ameamua kubwaga manyanga kutokana na matokeo mabaya ya kikosi hicho Ligi Kuu Tanzania Bara. Katika michezo sita  ya ligi...

Mugalu: Bocco, Kagere poa tu!

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba, raia wa DR Congo, Chriss Mugalu, amesema uwapo wa  wapachika mabao wenzake, Meddie Kagere na John Bocco, utampa nafasi ya kuwania ufungaji bora wa Ligi Kuu...

SVEN AJA NA USHINDI KIMBUNGA

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA wa Simba, Sven Vanderbroeck, amesema  licha  kupata upinzani mkali kutoka kwa Yanga na Azam katika vita ya ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, ana amini kikosi chake kitaendelea...

KAENI MBALI NA KAZE

NA ZAINAB IDDY BAADA ya kocha mpya wa timu ya Yanga, Cedric Kaze, kutua nchini, bosi wa klabu hiyo, Dk. Mshindo Msolla, amepiga mkwara mzito kwa viongozi wenzake kuingia majukumu ya...

Neymar ampiku Ronaldo, sasa amtafuta Pele

RIO, Brazil FOWADI wa Brazil, Neymar alikuwa moto wa kuotea mbali baada ya kufunga mabao matatu ‘hat trick’ kwenye ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Peru katika mchezo wa kutafuta tiketi ya kushiriki fainali...

Bosi La Liga anaamini Messi atabaki

 Hispania hata baada ya BARCELONA, Hispania RAIS wa La Liga, Javier Tebas, anaimani nahodha wa Barcelona, Lionel Messi, ataendelea kucheza sokalake Juni 2021 mkataba wake utakapomalizika. Messi mwenye umri wa miaka 33 alitaka kuondoka Barca Agosti mwaka...

Murray amkubali Nadal

LONDON, England REKODI ya Rafael Nadal ya kubeba mataji 13 ya French Open, haitavunjwa na mchezaji yoyote wa tenisi kwa mujibu Andy Murray. Nadal, mwenye umri wa miaka 34, aliibuka kidedea baada ya kumshinda...

About Me

5323 POSTS
0 COMMENTS
- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...
- Advertisement -

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...