Tuesday, October 20, 2020

Bingwa

Ronaldo yupo fresh tu

LISBON, Ureno NYOTA wa Juventus, Cristiano Ronaldo, ameonekana akiwa na afya njema baada ya taarifa za kuambukizwa virusi vya corona. Ronaldo alilazimika kujitenga na wachezaji wenzake, lakini alionekana kwa mbali akiwa hotelini, akifuatilia mazoezi ya timu yake...

Chidi Beenz awafokea Diamond, Kiba, Harmonize

 NA BRIGHITER MASAKI STAA wa Hip hop nchini, Rashid Makwilo a.k.a Chidi Beenz, amewataka wasanii wakubwa, Diamond Platnumz, Ali Kiba na Harmonize kuwashika mkono wasanii wenzao. Akizungumza na Papaso la Burudani...

Kiba awapa mchongo Bongo Muvi

NA JEREMIA ERNEST KATIKA kuadhimisha miaka 21 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, staa wa muziki nchini, Ali Kiba, amemwomba Rais  Dk. John Magufuli,  fungu la kuwawezesha wasanii wa filamu kutengeneza...

Tory Lanez apigwa mkwara mzito

LOS ANGELES, MAREKANI MAHAKAMA mjini Los Angeles, Marekani, imempiga mkwara mzito rapa, Tory Lanez, asimkaribie mrembo Megan Thee Stallion kwenye kipindi chote  cha kesi yao inapoendelea. Tory Lanez ambaye anakabiliwa na...

Kraist Kid aanika siri ya ukimya wake

NA DAINES MSUMENO(TUDARCo) RAPA anayewakilisha vyema Mkoa wa Kilimanjaro, George Silaa a.k.a Kraist Kid, amesema kimya chake kilisababishwa na kufanya maandalizi ya kampuni na duka lake lililopo wilayani Siha. Akizungumza na...

AFC kuilipua Geita Gold

NA VICTORIA GODFREY KOCHA timu ya Arusha FC, Atuga Manyundo, amesema hatafanya makosa kwani malengo yaliyopo ni kuibuka na ushindi dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Daraja la  Kwanza  Tanzania Bara utakaochezwa...

Ulimboka ataka pointi tatu nyumbani

NAVICTORIA GODFREY KOCHA timu ya  Pamba, Ulimboka Mwakingwe, amesema wamejipanga kuibuka na ushindi dhidi ya Singida United katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara, utakaochezwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Nyamagana, jijini Mwanza.

Namungo, Biashara zaua, Ihefu FC hoi

NA GLORY MLAY TIMU ya Namungo  imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa,mkoani Lindi, ukiwa ni mwendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Katika...

Meja Mingange aisifia Mbeya City

NA ZAINAB IDDY BAADA ya timu ya Mbeya City kuanza vibaya Ligi Kuu Tanzania  Bara, Kocha wa kikosi cha Lipuli, Meja Mstaafu wa Jeshi, Abdul Mingange, amesema kikosi hicho kinachofundishwa...

Kocha Simba anukia Ihefu

NA ZAINAB IDDY ALIYEKUWA kocha msaidizi wa zamani wa timu ya Simba, Mganda  Jackson Mayanga, huenda akatua katika Klabu ya Ihefu inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Mayanga aliyewahi kuifundisha timu ya...

About Me

5323 POSTS
0 COMMENTS
- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...
- Advertisement -

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...