Saturday, August 15, 2020

Bingwa

MOURINHO AWAJIA JUU WANAODAI KAWAPA UBINGWA MAN CITY

LONDON, England | KOCHA Jose Mourinho amesema kwamba jitihada zilizofanywa na Manchester City msimu mzima ndio sababu ilyowawezesha kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England na wala si kipigo ambacho Manchester United walikapata juzi dhidi ya West Brom. Wiki mbili...

YANGA WAIBEBA LIPULI KUIFUNGA SINGIDA UNITED

NA WINFRIDA MTOI | KOCHA Mkuu wa Lipuli FC, Amri Said, amesema wamefanikiwa kuifunga Singida United baada ya kutazama video za mechi ya timu hiyo ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga. Lipuli waliifunga Singida...

SIMBA YAHUSISHWA KUVURUNDA KWA AZAM

NA WINFRIDA MTOI | NAHODHA wa kikosi cha Azam FC, Himidi Mao, amekiri kuwa nafasi waliyopo kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, inawachanganya wachezaji na kuwafanya wavurunde katika mechi zao. Tofauti ya pointi kati...

YANGA WAHAHA KUMBAKIZA YONDANI

NA HUSSEIN OMAR | WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) ikielekea ukingoni, uongozi wa Yanga umesema umejipanga kuhakikisha unafanya kila linalowezekana kumbakisha beki wake wa kati, Kelvin Yondani ‘Vidic’. Yondani amemaliza mkataba na anachokifanya sasa...

BOCCO AMCHONGEA OKWI KWA MMACHINGA

NA SAADA SALIM | KITENDO cha mshambuliaji wa Simba, John Bocco, kukubali kumwachia Emmanuel Okwi kupiga mipira yote ya adhabu ikiwamo na penalti, kimeonekana kumchonganisha Mganda huyo na nyota wa zamani wa Yanga, Mohammed Hussein...

YANGA YAPETA ETHIOPIA, NSAJIGWA KUFANYA ‘SURPRISE’ YA KIKOSI

NA HUSSEIN OMAR | WACHEZAJI wa Yanga wakiongozwa na Kelvin Yondani, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na Papy Kabamba ‘Tshishimbi’, jana asubuhi wamepiga tizi la kufa mtu katika Uwanja wa Awassa, kujiandaa na mchezo wao wa marudiano...

VIGOGO SIMBA WAWEKA KIKAO CHA DHARURA TAIFA KUIJADILI YANGA

NA SALMA MPELI | MUDA mfupi baada ya Simba kuichapa Tanzania Prisons mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, vigogo wa timu hiyo walikutana kujadili...

ARGENTINA WAFURAHIA MESSI KUTUPWA NJE UEFA

BUENO AIRES, Argentina BAADHI ya mashabiki nchini Argentina, wameelezea  furaha yao kuona straika wao, Lionel Messi na timu yake ya Barcelona wakitupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, kwa kile wanachodai atapata muda wa kupumzika kabla ya kuanza...

RAKITIC AFANYIWA UPASUAJI

CATALUNYA, Hispania KIUNGO wa Barcelona, Ivan Rakitic, amefanyiwa upasuaji wa kidole, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na klabu hiyo. Rakitic alipata majeraha hayo katika mchezo wa marudiano wa hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhii ya Roma. Mtanange huo...

FERDINAND: SALAH KWA RONALDO? UTANI HUO

LONDON, England BEKI wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand, amesema ni mapema kumfananisha Mohamed Salah wa Liverpool na Cristiano Ronaldo. Jumanne ya wiki hii, Salah alifunga mara moja katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Manchester City, na lilikuwa la...

About Me

5131 POSTS
0 COMMENTS
- Advertisement -

Latest News

Wakili kiboko anunua kesi ya Morrison

NA WINFRIDA MTOI WAKALI aliyejizolea umaarufu nchini kutokana na uwezo na rekodi yake ya...
- Advertisement -

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza kupokea maombi kutoka kwa baadhi...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...