Thursday, October 29, 2020

Bingwa

ZIDANE ‘AWAJAZA SUMU’ NYOTA MADRID

MADRID, Hispania   KOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane, ametaja wazi neno la mwisho alilowapa wachezaji wake kwamba, wanatakiwa kuhakikisha wanaonesha kiwango cha hali ya juu watakapoivaa Bayern Munich kesho kwenye mechi ya kesho ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya. Zidane...

MOURINHO AMUAGA WENGER KWA KICHAPO, MANCHESTER UNITED IKIICHAPA ARSENAL 2-1

MANCHESTER, England   KOCHA wa Man United, Jose Mourinho, amempa mkono wa kwaheri mwenzake wa washika mitutu wa London, Arsenal, babu Arsene Wenger kwa kumtandika mabaon 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa jana katika dimba la Old Trafford. Mchezo huo...

DAH! WAKIMALIZA URUSI, HUENDA NDIO BASI TENA KOMBE LA DUNIA

MOSCOW, Urusi   BADO miezi michache fainali za Kombe la Dunia zianze kutimua vumbi nchini Urusi, huku kila timu ikijipanga kufanya vyema katika michuano hiyo. Pamoja na fainali hizo kuanza Juni 14, kuna baadhi ya wachezaji wanaweza wasipate nafasi nyingine ya kucheza...

MASENTAHAFU WALIOTIKISA TANZANIA (3)

NA HENRY PAUL   WIKI iliyopita BINGWA lilikuletea baadhi ya wachezaji mahiri waliokuwa wanacheza safu ya kati 'Masentahafu', ambao walikuwa na uwezo wa kipekee na kutamba katika timu zilizokuwa zinashiriki Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (sasa Ligi Kuu) na hata...

SERENGETI BOYS BINGWA CECAFA

  TIMU ya Taifa ya vijana wenye umri wa miaka 17 ‘Serengeti Bosy’ wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Baraza la soka la Afrika Mashariki na Kati ‘CECAFA’. Serengi Boys wamefanikiwa kubeba taji hilo kwa kuipiga Somalia 2-0 jana jioni. Katika fainali...

HASTA LA VISTA ANDRES INIESTA…

  TULIOBAHATIKA kuwa mashuhuda wa ustadi wake, Andres Iniesta, hebu tumuage kwa kusema, Hasta la Vista, kwaheri fundi. Kama shida ingekuwa inagonga hodi, halafu mtu mmoja kati yetu angekuwa na roho ngumu ya kuikaribisha, angekuwa msaada mkubwa kwa Iniesta. Kabla ya kuifafanua...

SIMBA WAIPIGA YANGA

NA WAANDISHI WETU   VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, wamewachapa mahasimu wao Yanga bao 1-0 na kubakiza pointi tano kuweza kunyakua ubingwa wao wa kwanza tangu mwaka 2012. Mchezo huo wa marudiano uliopigwa jana kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar...

MWAMUZI SIMBA, YANGA TUMWACHIE MUNGU

NA ZAITUNI KIBWANA | HATIMAYE mwamuzi atakayechezesha mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga keshokutwa, ametangazwa rasmi, huku akionekana kutokuwa na uzoefu wowote wa pambano hilo la kukata na shoka baina...

UBORA WA YANGA UKO HAPA

NA MWANDISHI WETU | JOTO la pambano la watani wa jadi katika soka la Tanzania, Simba na Yanga litakalopigwa Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, linazidi kupanda huku mashabiki wa pande zote mbili wakitambiana, kila mmoja...

MOBETTO, DIAMOND WARUDIANA, ADAIWA KULALA MADALE

NA MWANDISHI WETU   SIKU chache baada ya kuvuja kwa video za faragha za mwanamitindo Hamisa Mobetto na Diamond Platnumz, imebainika kuwa, penzi la wawili hao limerudi upya, tena kwa kishindo. Hivi karibuni Hamisa kupitia mtandao wake wa SnapChat aliweka picha ya...

About Me

5363 POSTS
0 COMMENTS
- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...
- Advertisement -

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...