Friday, December 4, 2020

Bingwa

WAKITOKA WAKATAMBIKE

*Simba kuhamishia mauaji Taifa leo, Mbeya City waingiwa na mchecheto NA AYOUB HINJO TIMU ya Simba inashuka dimbani leo kumenyana na Mbeya City katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ukiwa mchezo wa 22 kwa wenyeji na 24 kwa wageni hao...

LWANDAMINA AANZA KAZI ZESCO

*Jese Were, wenzake kicheko *Kurejea Jangwani kuanika kila kitu ZAITUNI KIBWANA NA HUSSEIN OMAR KOCHA Mkuu wa Yanga, George Lwandamina, ameanza rasmi kibarua chake kipya na klabu yake ya zamani ya Zesco United, baada ya kuachana na Wanajangwani. Lwandamina ambaye aliwasili Zambia juzi,...

PLUIJM AIPA SHARTI YANGA

NA ZAINABU IDDY BAADA ya Hans van der Pluijm kuiwezesha Singida United kuibania Yanga na kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kocha huyo amewapa sharti timu yake hiyo ya zamani ambayo inamtaka arejee Jangwani. Pluijm...

MR NICE: SIJUI WAZO LA KUANZISHA TAKEU LILITOKA WAPI

Na CHRISTOPHER MSEKENA HII ni Jiachie na Staa Wako, safu inayokupa uhuru wa kuuliza swali na kujibiwa na mastaa mbalimbali tunaokuwa nao hapa na kama nilivyokupa taarifa Jumanne iliyopita kuwa leo tutakuwa na nyota mkongwe wa muziki nchini, Lucas Mkenda...

About Me

5384 POSTS
0 COMMENTS
- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...
- Advertisement -

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...