Tuesday, November 24, 2020

AZAM FC YAIAHIDI MAKUBWA NMB

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA WINFRIDA MTOI,

WACHEZAJI na viongozi wa Azam FC wamefanya ziara ya kutembelea Makao Makuu ya Benki ya NMB ambayo ni mdhamini wa klabu hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam, Saad Kawemba, alisema wanajivunia kuwa washirika wa benki hiyo na kuahidi kuendelea kuimarisha klabu hiyo ili kufukia malengo waliyojiwekea.

Kawemba alisema tangu wameingia mkataba huo wa udhamini wamefanikiwa kufikia nusu ya malengo yao kwa kutwaa mataji matano ya  mashindano tofauti.

Alisema baada ya kuondolewa katika michuano ya Afrika hivi sasa wameelekeza nguvu kwenye Kombe la ShirikishoTanzania (FA) ili kuweza kupata nafasi ya kurudi kwenye mashindano ya kimataifa.

“Tunafuraha ndani ya ushirikiano tulionao na NMB, tumeweza kufikia malengo tuliyowekeana na leo tumeona tulete makombe tuliyotwaa kwa kipindi hizo.

Ila safari bado inaendelea na sasa macho yetu ni kuchukua Kombe la Shirikisho ambapo nusu fainali tunatarajia kukutana na Ndanda FC,” alisema.

Ofisa Mkuu wa Fedha wa NMB, Waziri Barnabas, alisema Azam ni klabu inayoendeshwa katika uongozi bora hivyo wanategemea makubwa kutoka kwao huku ushirikiano wao ukiendelea kuimarika.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -