Friday, December 4, 2020

Azam FC: Yanga Farid ni mali ya Teneriffe

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA ZAINAB IDDY

HUKU Yanga ikidaiwa kuisaka kwa udi na uvumba saini ya winga wa Azam FC, Farid Mussa, mataikuni hao wa jijini Dar es Salaam wamempa njia rahisi ya kufanikisha azma yao hiyo.

Yanga imekuwa ikihusishwa na kumtaka  Farid ili kujiimarisha kwa ajili ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara ambapo umepangwa kuanza Desemba 17.

Winga huyo alifuzu majaribio ya kucheza soka la kulipwa katika klabu ya Tenerife ya Hispania, lakini safari yake ya kwenda nchini humo imeonekana kuwa na magumashi.

Mtendaji wa Azam FC, Saad Kawemba, kwenye mahojiano na BINGWA amesema, mamlaka kuhusu mchezaji huyo yuko klabu ya Tenerife kwa madai kwamba wao tayari walishatoa hati ya uhamisho wa kimataifa (ITC) tangu Agosti.

Alisema kumekuwa na taarifa kuhusiana na Faridi, lakini ukweli ni kwamba Teneriffe ndiyo wenye mamlaka na mchezaji huyo.

“Tulitoa ITC yake tangu Agosti mwaka huu na kinachomkwamisha Farid ni kibali cha kufanya kazi nchini Hispania, taratibu za kule na Tanzania ni tofauti, wao wana masharti magumu, tumekuwa tukifanya mawasiliano nao na wametuhakikishia kuwa wana mipango naye.

“Kwa mantiki hiyo kama kuna timu inamhitaji hapa nyumbani na nje ya mipaka ya Tanzania, ni bora wakafanya mawasiliano na Teneriffe ili wasijekuonekana wamevunja sheria na taratibu za usajili, kwani hata kama wakiingia naye mkataba hataweza kucheza hadi ITC yake iletwe kutoka Hispania,” alisema Kawemba.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -