Saturday, November 28, 2020

Azam majeruhi, hasira zote kwa Ndanda

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA SALMA MPELI,

KIKOSI cha Azam kinatarajiwa kuifuata Ndanda FC Alhamisi hii, huku wakiwa na hasira za kuibuka na ushindi kwenye mchezo huo baada ya kupoteza mechi yao iliyopita dhidi ya Simba.

Jumamosi iliyopita, Azam walikuwa wenyeji wa Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru na timu hiyo kukubali kichapo cha bao 1-0.

Akizungumza na BINGWA jana, Ofisa Habari wa Azam, Jafari Idd, alisema wanakwenda Mtwara kuchukua pointi tatu na wana imani ya kushinda mchezo huo kutokana na maandalizi wanayoendelea nayo.

“Tunakwenda Mtwara Alhamisi na maandalizi kwa ajili ya mchezo huo yanaenda sawa, tuna imani ya kushinda mchezo huo, kwani hata msimu uliopita, tulifanikiwa kuwafunga kwenye Uwanja wao wa nyumbani wa Nangwanda, mabao 2-1,” alisema.

Akizungumzia wachezaji wao, Pascal Wawa, Agrey Morris na Erasto Nyoni ambao ni majeruhi, Jafari alisema wanaendelea na mazoezi mepesi, lakini suala la kucheza au kutocheza ni maamuzi ya daktari kutokana na matibabu yake.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -