Sunday, November 29, 2020

AZAM MIKONONI MWA MBABANE

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAITUNI KIBWANA

AZAM imeangukia mikononi mwa Mbabane Swallows ya Swaziland katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.

Wawakilishi hao wa Tanzania walikuwa wanasubiri mshindi kati ya Mbabane Swallows na Orapa United ya Botswana, ambao walianza hatua ya awali ya michuano hiyo.

Mbabane wamesonga mbele kwa changamoto ya mikwaju ya penalti 3-2 kufuatia kutoka sare ya kufungana bao 1-1.

Katika mchezo wa kwanza Mbabane walishinda 1-0 ugenini na Orapa United kupata ushindi kama huo waliporudiana juzi nchini Swaziland na mshindi wa kusonga mbele kuamriwa kwa changamoto ya mikwaju ya penalti.

Kutokana na matokeo hayo, Azam  wataanzia nyumbani kucheza na Mbabane Machi 12 mwaka huu na kurudiana ugenini kati ya Machi 17,18 na 19.

Azam tayari wamecheza mechi mbili za kirafiki za kimataifa dhidi ya Red Arrows ya Zambia na Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini kujiandaa na michuano hiyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -