Tuesday, December 1, 2020

AZAM WAJIFUA KINOMA SAUZI

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA MAREGES NYAMAKAK,

AZAM wanajifua kinoma Afrika Kusini katika Mji wa Pretoria, kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Mbabane Swallos, unaotarajiwa kupigwa Jumapili nchini Swaziland.

Kikosi hicho kiliondoka juzi nchini na kufikia katika Hoteli ya Arcadia iliyopo Pretoria, ambapo mchezo wa awali uliopigwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi Dar es Salaam, walifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0.

Akizungumza na BINGWA jana kwa simu kutoka Afrika Kusini, Meneja wa timu hiyo, Simion Alando, alisema wanajifua ili waweze kuibuka na ushindi.

“Timu ilifika jana (juzi) salama saa 4:40 usiku ambapo kwa sasa wachezaji wataendelea na mazoezi ya kujiandaa na mchezo unaotukabili mbele yetu,” alisema.

Alisema ushindi katika mchezo huo ni muhimu licha ya kucheza ugenini, hivyo watapambana kuhakikisha wanakuwa makini na kupata matokeo mazuri.

Kikosi hicho ambacho kipo chini ya kocha mkuu, Aristica Cioba, kinahitaji kupata ushindi au sare ili kuvuka katika hatua hiyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -