Tuesday, November 24, 2020

AZAM YAMPA MACHUNGU MROMANIA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA SAADA SALIM

KOCHA mkuu wa Azam, Aristica Cioba, amepata machungu baada ya kusema  kuwa hajafurahishwa na nafasi ya tatu inayoshika timu hiyo katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kwani haitamwezesha kushiriki michuano ya kimataifa mwakani.

Katika msimamo wa ligi hiyo, Azam inashika nafasi hiyo kutokana na pointi 38, wakati Yanga wakishika nafasi ya pili kwa pointi 49 na Simba wakiwa kileleni kwa pointi 51.

Akizungumza na BINGWA juzi, Cioba  alisema timu yake inapata mahitaji yote muhimu, lakini inashindwa kufanya vizuri.

Cioba alisema kuwepo kwa nafasi ya tatu kwa timu yake ni jambo la kushangaza kutokana na ubora wa kikosi chake kilichosheheni wachezaji wengi nyota wakiwamo wa kigeni.

Alisema kwa jinsi ambavyo timu yake imejitosheleza, ni jambo la kuhuzunisha zaidi kuona inashika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi hiyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -