Friday, October 30, 2020

BALE AGOMA KUWALINGANISHA LOPETEGUI, ZINEDINE ZIDANE

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MADRID, Hispania


 

WINGA wa Real Madrid, Gareth Bale, amegoma kabisa kuingia kwenye mjadala wa kumpambanisha kocha wake wa zamani katika kikosi hicho cha mabingwa wa kihistoria wa Ulaya, Zinedine Zidane na huyu wa sasa, Julen Lopetegui.

Bale ambaye ameuanza msimu huu wa La Liga akiwa na kiwango cha kuridhisha huku akiibua matumaini ya kwamba atafikia kwenye ‘levo’ za juu.

Msimu uliopita winga huyo alicheza jumla ya mechi 39 na kuifungia Madrid mabao 21 katika michuano yote, yakiwemo mabao mawili makali aliyotupia kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na kuipa ushindi Madrid wa mabao 3-1 dhidi ya Liverpool.

“Kwa kweli sina uhakika kama nipo tayari kulijibu hilo swali. Sidhani kama nipo tayari kuwapambanisha Lopetegui na Zidane, au kusema kocha wa sasa ni bora kuliko Zizzou,” alisema.

Hadi kufikia sasa Bale amecheza mechi tano chini ya Lopetegui, akifunga mabao matatu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -