Monday, August 10, 2020

BALE AOMBA MSAMAHA KWA KADI NYEKUNDU

Must Read

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi...

MADRID, Hispania,

KOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane, amesema mchezaji wake, Gareth Bale, ameomba msamaha kwa kadi yake nyekundu aliyoonyeshwa wakati wa mechi dhidi ya Las Palmas.

Bale alionyeshwa kadi yake nyekundu ya kwanza tangu atue Real Madrid na ya kwanza tangu mwaka 2008, baada ya kumpiga teke Jonathan Viera, kabla ya kumsukuma kiungo huyo chini.

Mechi hiyo ilionekana kama Madrid wangefungwa kwa mara ya kwanza katika Uwanja wa Santiago Bernabeu kwa miaka kadhaa, lakini walifanikiwa kusawazisha na mchezo huo kumalizika kwa sare ya mabao 3-3.

Alipoulizwa kuhusiana na kutolewa kwa Bale, Zidane, alisema: “Ameomba msamaha. Hajafurahishwa na kutolewa huko.

“Hili linaweza kutokea kwenye mechi na hatuwezi kulibadili. Mara nyingi nakuwa na furaha baada ya mechi, ila sasa siwezi kuwa na furaha, ila huu ni msimu mrefu, tutafanya mabadiliko.”

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -