Friday, December 4, 2020

BANDA AMFUNGIA KAZI MGHANA WA AZAM

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA MARTIN MAZUGWA

BEKI wa Simba, Abdi Banda, hajasahau bao la kiungo wa Azam, Himid Mao,  alilowafunga katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi uliochezwa Januari 13 mwaka huu kwenye Uwanja wa Amaan.

Kutokana na kufungwa bao hilo, Banda ameamua kupiga tizi kali  katika mazoezi yao yanayoendelea kwenye Uwanja wa Boko Veterani kujiandaa na mechi ya marudiano ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam, itakayochezwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, ili washambuliaji wa wapinzani wao, Mghana Yahya Mohamed na John Bocco hawapati nafasi ya kutikisa nyavu zao.

Baada ya mazoezi magumu  yaliyofanyika juzi jioni kwenye uwanja huo wa Boko Veterani, Banda aliendelea kujifua kivyake.

Banda alitumia muda mwingi kufanya mazoezi ya kutengeneza pumzi ili kuhakikisha mchezo ujao anakuwa fiti asilimia 100 kwa lengo la kuwakabili washambuliaji wa Azam.

Beki huyo baada ya kumalizika kwa mazoezi hayo hakutaka kupanda basi la wachezaji wanzake na badala yake alianza kukimbia hadi kambini kwao,  Dege Beach nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.

Simba wanaongoza katika msimamo wa Ligi Kuu Bara kutokana na pointi 45 wakifuatiwa na Yanga wenye pointi 43.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -