Saturday, October 31, 2020

BANDA AZIDI KUITOSA SIMBA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA SALMA MPELI

KIUNGO wa Simba, Abdi Banda, ameendelea kushikilia msimamo wake wa kutosaini mkataba mpya na klabu hiyo kwa kile kinachodaiwa kuwa ana mipango yake mingine kwa sasa.

Wiki iliyopita, mchezaji huyo aliitwa na uongozi wa klabu hiyo kwa lengo la kuongezewa mkataba mpya, lakini alikataa kusaini mpaka atapowasiliana na meneja wake, Abdul Bosinia.

Habari zilizopatikana jana kutoka ndani ya uongozi wa klabu hiyo, zilieleza kwamba baada ya Banda kuonana na meneja wake, ameendelea kushikilia msimamo wake wa kutosaini.

“Banda bado yupo kwao Tanga lakini anaonekana hayuko tayari kuongeza makataba mpya kwa sasa,” alisema mtoa habari wetu.

Banda ni miongoni mwa wachezaji wa Simba ambao Mohamed Hussein, Jonas Mkude na Ibrahim Ajib waliobakisha mkataba wa miezi sita.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -