Sunday, October 25, 2020

Baraka Da Prince ampa onyo Bakora

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA BEATRICE KAIZA,

MSANII wa Bongo Fleva nchini, Baraka Andrew ‘Baraka Da Prince’, amefunguka na kudai kitendo alichokifanya mchekeshaji, Stan Bakora cha kumwigiza kwenye video yake ya ‘Nisamehe’ hajakipenda na hataki kumwona anakirudia tena.

Muda mfupi baada ya Bakora kutuma video hiyo katika mitandao ya kijamii, Baraka alionekana kuchukizwa na hivyo kumwandikia ujumbe uliosomeka kuwa: “Matani ni mazuri ila yakizidi yanaweza kuleta matatizo, heshima ichukue nafasi yake tafadhali, mzee sijapenda ulichofanya iwe mwanzo na mwisho tafadhali.”

Hata hivyo, Bakora alimjibu Baraka kuwa ni kawaida kuziigiza video zinazofanywa na wasanii wengine kwa ruhusa yao, hivyo anamshangaa Baraka kulalamika wakati taarifa anazo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -