Wednesday, November 25, 2020

BARCA KUKIPIGA NA CHAPECOENSE

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

BARCELONA, Hispania


Barcelona wameialika klabu ya Chapecoense ya Brazil kucheza kwenye Uwanja wa Nou Camp katika michuano ya Kombe la Joan Gamper mwakani.

Klabu hiyo ya Brazil imeanza kusuka upya kikosi chake baada ya ajali ya ndege iliyotokea wiki iliyopita nchini Colombia na kuua wachezaji 19 na Barcelona wamelenga kuisaidia klabu hiyo kujijenga upya.

Jumla ya watu 71 walikufa katika ajali hiyo iliyotokea mjini Medellin, ambapo Chapecoense walitarajiwa kucheza fainali ya kwanza ya Copa Sudamericana dhidi ya Atletico Nacional.

Michuano hiyo ya Joan Gamper, imeitwa kwa jina hilo la mmoja waanzilishi wa klabu hiyo, ambapo hufanyika mwishoni ama mwanzoni mwa msimu.

“Barcelona wanataka kuonyesha heshima kwa watu 71 waliofariki kwa ajali ya ndege na familia zao, hivyo michuano ya Joan Gamper Trophy ya mwakani tutaialika Chapecoense,” ilisema taarifa ya kwenye mtandao wa klabu hiyo.

Pamoja na mwaliko huo wa Chapecoense mwakani, Barcelona wataungana nao kukarabati miundo mbinu ya klabu hiyo, pamoja na kusaidia kurejea kwenye ‘level’ walizokwishazifikia.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -