CATALUNYA, Hispania
BARCELONA wametajwa kwenye mpango wa kumsajili chipukizi wa Manchester United, Angel Gomes.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 16, amekuwa kivutio kwenye ‘academy’ ya klabu hiyo ya jijini Manchester.
© New Habari (2006) Ltd | All rights reserved.