Friday, October 30, 2020

BAYERN, AS ROMA KUPINDUA MATOKEO?

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MADRID, Hispania


 

MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa hatua ya nusu fainali inaendelea tena leo na kesho kwa kuikutanisha miamba minne ambayo inasaka kutinga fainali.

Miamba hiyo ni Real Madrid ambao watakuwa nyumbani wakiikaribisha Bayern Munich na AS Roma ambao nao kesho pia watakuwa nyumbani wakiwakaribisha majogoo, Liverpool.

Katika mchezo wa leo kati ya Real Madrid dhidi ya Bayern Munich, wenyeji ndio wanaopewa nafasi ya kuibuka na ushindi kutokana na kuwa watakuwa nyumbani Santiago Bernabeu mbele ya mashabiki wake na huku wakibebwa na ushindi wa mabao 2-1 ambao waliuapata katika mchezo wa kwanza wakiwa ugenini.

Pia mbali na hilo, vinara hao wa soka Hispania, wanapewa nafasi ya kuvuka katika hatua hiyo, baada ya kuvibwaga vigogo vingine Paris Saint-Germain na Juventus katika hatua ya mtoano.

Hata hivyo, pamoja na kupewa nafasi hiyo, kocha wa timu hiyo, Zinedine Zidane, ambaye anakaribia kuwafikia makocha, Carlo Ancelotti na Bob Paisley, amekataa kuwabeza wapinzani wake hao akisema kuwa hawezi kulizungumzia hilo kwa sasa.

Wakati Real Madrid leo wakiwa kibaruani kwa mashabiki wa Liverpool, nao kesho watakuwa roho juu wakiwasikilizia vijana hao ambao nao watakuwa kibaruani kulinda ushindi wao wa mabao 5-2 ambao waliupata katika mchezo wa kwanza.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -