Monday, November 23, 2020

PSG KUIZAMISHA REKODI YA MIAKA 10 YA BARCA?

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

CATALUNYA, Hispania

MOJA kati ya matokeo yaliyowashangaza wengi katika michezo ya hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ni yale ya Barcelona kuchapwa mabao 4-0 na PSG.

Tayari kuna shaka kubwa juu ya hatima ya wababe hao wa La Liga katika michuano ya Ulaya ya mwaka huu.

Barca watarudiana na PSG Machi 8 na mchezo huo utachezwa kwenye Uwanja wa Camp Nou.

Kama Barca watashindwa kubadili matokeo, kufunga zaidi ya mabao manne, huenda wakaweka historia mbaya katika mafanikio yao ya soka.

Hiyo itakuwa ni mara yao ya kwanza kushindwa kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya tangu mwaka 2007.

Kwa mara ya mwisho, Barca waliishia hatua ya mtoano miaka 10 iliyopita baada ya safari yao ya kwenda robo fainali kusitishwa na Liverpool.

Kuanzia hapo, Barca walizitesa Celtic, Lyon, Stuttgart, Arsenal, Bayer Leverkusen, Manchester City na AC Milan katika hatua hiyo ya 16 bora.

Lakini pia, Barca hawajawahi kufungwa katika mchezo wa kwanza wa hatua ya mtoano tangu walipofanya hivyo katika msimu wa 2011-12.

Walichapwa mabao 2-0 na AC Milan katika mchezo wa kwanza uliochezwa Italia na waliporudi Camp Nou walisawazisha na kuongeza mengine manne.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -