Sunday, November 1, 2020

BECKHAM AMPIGA DONGO IBRAHIMOVIC

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LOS ANGELES, Marekani


 

KIUNGO wa zamani wa Manchester United, David Beckham, ametania kuwa Zlatan Ibrahimovic amezeeka lakini amempongeza kwa kufikisha mabao 500 katika maisha yake ya soka.

Ibrahimovic anayeichezea LA Galaxy, mwishoni mwa wiki iliyopita aliungana na Cristiano Ronaldo na Lionel Messi katika orodha ya wanasoka wanaoendelea kucheza wakiwa wameshafikisha idadi hiyo ya mabao.

Msweden huyo aliweka historia hiyo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Marekani ambapo hata hivyo kikosi chake cha Galaxy kilichapwa mabao 5-3 na Toronto.

 “Mabao 500! Hiyo inaonesha kuwa umezeeka sana, hata hivyo nakupongeza mwenzangu,” aliandika Beckham katika ukurasa wake wa Instagram.

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -