Sunday, November 1, 2020

BECKHAM, MKEWE WANUSURIKA KUIBIWA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MIAMI, Marekani

MJENGO wenye thamani ya Pauni milioni 6 (zaidi ya Sh bil 17 za Tanzania), unaomilikiwa na David Beckham, juzi ulinusurika kuvamiwa na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi.

Kamera za CCTV ziliwanasa watu hao wakiwa nje ya nyumba hiyo iliyoko Great Tew, Oxfordshire na ndipo polisi walipopewa taarifa na kufika ‘fasta’ eneo la tukio.

Kwa upande mwingine, ndoa ya wawili hao imetajwa kuwa hatarini kuvunjika licha ya sababu kutoanikwa.

Akiwa Australia hivi karibuni, Beckham alifanya mahojiano na kituo kimoja cha runinga, ambapo aliwashangaza wengi aliposema kuishi kwenye ndoa na Victoria imekuwa ni kazi ngumu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -