Tuesday, November 24, 2020

Bekele aonesha uwezo mbio ndefu za Berlin

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

BERLIN, Ujerumani

MWANARIADHA mahiri kutoka Ethiopia, Kenenisa Bekele, alifanya kazi kubwa kuibuka mshindi kwenye mbio ndefu za Berlin mapema Jumapili ya wikiendi iliyopita ambapo alimpiku mpinzani wake mkubwa, Wilson Kipsang wa Kenya.

Bekele ambaye ni bingwa wa Olimpiki mara tatu anayeshikilia rekodi ya kushinda kwenye mbio za mita 5,000 na 10,000, alikuwa na vita kubwa dhidi ya Kipsang, lakini alifanikiwa kumaliza mbio kwa ushindi akitumia muda wa saa mbili, dakika tatu na sekunde nne, akipungukiwa sekunde saba tu kuifikia rekodi ya dunia iliyowekwa na Dennis Kimetto mwaka 2014 kwenye mbio za Berlin.

Mkenya Kipsang, ambaye ni bingwa mtetezi wa zamani aliyelinyakua kwenye mashindano ya Berlin miaka mitatu iliyopita, alionekana kushindwa na kasi ya Bekele aliyeonesha uwezo wa hali ya juu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -