Friday, October 30, 2020

BEKI ANAYEMWOGOPA DROGBA AFICHULIWA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LONDON, England


 

NYOTA wa zamani wa Arsenal, William Gallas, amefichua kuwa beki aliyekuwa akicheza naye, Philippe Senderos, alikuwa akiweweseka kila alipokuwa akikaribia kukutana na Didier Drogba.

Senderos anayecheza Houston Dynamo ya Ligi Kuu ya Marekani, alikuwa Arsenal kwa miaka saba na aliondoka Arsenal akiwa ameshinda taji la Kombe la FA na Ngao ya Jamii.

Gallas, ambaye pia aliwahi kucheza Chelsea, alisema Senderos alikuwa akitoka jasho jingi si tu anapokaribia kukutana na Drogba, bali walipokuwa wakijiandaa na mchezo wowote.

“Kabla ya mechi ungemwona akiongea sana, ungemwona akitokwa jasho, alikuwa akijisikia vibaya. Nilimwona dhidi ya Chelsea, alipokuwa akitakiwa kukabiliana na Didier Drogba, alikuwa akipagawa,” alisema Gallas.

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -