Tuesday, November 24, 2020

BEKI MATATA MBAO AISOMA NAMBA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA SAADA SALIM

BEKI matata wa Mbao, Mghana  Asante Kwasi, aliona ni rahisi kuifunga Simba, lakini sasa ameisoma namba.

Mbao walipigwa kichapo cha aibu cha mabao 3-2 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, huku beki huyo akiamini wangeweza kushinda baada ya kuongoza kwa mabao 2-0 kabla ya kwenda mapumziko.

Akizungumza na BINGWA, beki huyo alisema ameivulia kofia Simba, kwani hakuamini kilichotokea uwanjani kwa wao kushindwa kuondoka na ushindi.

Beki huyo alisema ushindi wa Simba ulichangiwa na wachezaji wao kucheza kwa kujituma na kujitolea na kufanikiwa kuondoka na pointi tatu.

Alisema walitumia uzembe wa kipa wao ambaye hakuweza kufanya mawasiliano mazuri na mabeki wake, hali iliyopelekea wachezaji wa Simba kutumia nafasi hiyo.

Beki huyo alisema wapinzani wao walitumia mapungufu yao dakika za mwisho kusawazisha na kupata ushindi.

“Wachezaji wa Simba walipoingia walionekana wanatafuta kitu, kwa upande wetu tuliridhika na matokeo ya awali, wenzetu waliendelea kupambana kwa lengo la kusawazisha na baadaye ushindi,” alisema.

Kwasi alisema kwa matokeo hayo hawatarudi nyuma, watahakikisha wanapambana na kuelekeza nguvu zao katika michezo yao iliyosalia.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -