Sunday, January 17, 2021

BEKI MPYA KUWAPA UTAMU KAGERA

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

NA ESTHER GEORGE

BEKI wa zamani wa Simba, Mohammed Faki, amesema atahakikisha anawapa utamu mashabiki wa Kagera Sugar baada ya kusajiliwa na klabu hiyo katika usajili wa dirisha dogo la Ligi Kuu Tanzania Bara.

Faki aliyesajiliwa na Simba katika msimu uliopita akitokea JKT Ruvu, hakuonyesha kiwango kutokana na kuandamwa na majeraha lakini amesema atarejesha makali yake akiwa na kikosi chake hicho kipya.

Akizungumza na BINGWA jana, Faki alisema kutokana na kukosekana kwenye ligi hiyo kwa msimu mzima anatarajia kurudi kwa kishindo.

Faki alisema malengo yake ni kutaka kuiwezesha Kagera Sugar kushika nafasi za juu katika msimamo wa ligi hiyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -