Tuesday, October 27, 2020

BEKI YANGA ASIFU MBINU ZA PAA ZAHERA

Must Read

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo,...

NA TIMA SIKILO

BEKI wa kushoto wa kikosi cha Yanga, Gadiel Michael, amefunguka na kusema miongoni mwa makocha wa kigeni ambao wamewahi kumfundisha anavutiwa zaidi na Mkongo, Mwinyi Zahera.

Akizungumza na BINGWA hivi karibuni, Gadiel, alisema kocha huyo aliyechukua mikoba ya George Lwandamina, anawapa vipaumbele vijana tofauti na walimu wengine.

Alisema ligi ya msimu huu ni ngumu kutokana na changamoto nyingi ambazo wamekuwa wakipitia, lakini haiwakatishi tamaa na kama itaendelea kama ambavyo ipo kwa wakati huu anaamini mambo hayatakuwa mabaya kwao.

Gadiel alisema anamkubali sana kocha Zahera, kwani amekuwa ni kocha ambaye anaamini vijana na kuwapa nafasi ndani ya kikosi chake, jambo ambalo linampa hamasa kubwa yakupambana ili kuendelea kumwaminisha hajakosea kumpa nafasi.

“Ligi ni ngumu kutokana na kuongezeka kwa idadi ya timu shiriki na pia kila timu imefanya usajili mzuri, lakini sisi kwetu haituathiri na kama tutaendelea kupata matokeo kama haya tunayoyapata basi ubingwa ni wetu,” alisema beki huyo wa kushoto.

Akizungumzia malengo yake binafsi, Gadiel alisema ni kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi na haijalishi ni wapi muhimu ni masilahi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...

Katwila: Sitaidharau Mbeya City

NA VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Ihefu, Zuberi Katwila, amesema hawaraidharau  Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu...

Kocha apokea kipigo kwa shingo upande

 NA  VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Mwadui, Khalid Adam, amesema amesikitishwa na kipigo cha mabao 6-1 kutoka kwa...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -