Friday, January 15, 2021

Beki Yanga awataka Ajib, Mavugo Okt. mosi

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

NA HUSSEIN OMAR

BEKI wa Yanga, Pato Ngonyani,  amewaangalia washambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib na Laudit Mavugo na kujiridhisha ataweza kuwazuia katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara itakayochezwa Oktoba mosi, mwaka huu, kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Ngonyani, ambaye  hapati nafasi ya kucheza mara kwa mara katika kikosi cha kwanza cha kocha mkuu wa timu hiyo, Hans van der Pluijm, alisema  akipanga atawaonyesha kazi wawili hao.

Akizungumza na BINGWA juzi, Ngonyani alisema yuko fiti, baada ya kupona majeraha ya muda yaliyosababisha kuwekwa benchi na kocha wake.

Alisema akipewa nafasi ya kucheza, atahakikisha anawashangaza mashabiki wengi, kwani itakuwa ni vigumu kupitwa na washambuliaji wa Simba.

“Nipo tayari kucheza, sina wasiwasi hata kidogo, ingawa ni mchezo ambao unavuta hisia za maelfu ya mashabiki, lakini kwangu mimi ni kawaida,” alisema Ngonyani.

Msimu uliopita, Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -