Friday, November 27, 2020

Ben Pol akiona cha moto kisa Snura

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAITUNI KIBWANA

LICHA ya kukana mara kadhaa kutokuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanadada Snura Mushi, msanii Bernad Mnyelange ‘Ben Pol’, amekiona cha moto baada ya mashabiki wake kumvaa na kumtaka msanii huyo kutolewa sifa.

Kauli hiyo ya mashabiki imekuja siku chache baada ya video ikiwaonyesha wawili hao wakiwa kwenye mahaba mazito kwenye maonyesho ya Fiesta yanayoendelea mikoani.

Kufuatia picha hizo, mashabiki wake kupitia ukurasa wa Instagram walianza kumshambulia Ben Pol kwa maamuzi aliyoamua ya kutoka kimapenzi na Snura licha ya kutothibitika.

“Nakushangaa sana kaka juzi tu ulikuwa unalilia kutoka, leo hii umesahau unatembea na mama mwenye watoto wawili, yaani umekosa mwanamke au ndio kutafuta kiki,”  aliandika Rajabu Joseph.

Naye Magdalena Isaac, aliandika kwenye ukurasa huo: “Nilikuwa nakukubali sana lakini kwa kitu ulichokifanya nimekushusha thamani mno.”

Licha ya mashabiki hao kumshambulia mama wa Ben Pol, Latifa Mohamed ‘Queen Tipha’, amemtetea mwanae kwa kusema hiyo picha haikuwa na ubaya.

“Miye sijaona tatizo, nimeona ni kawaida, wale ni wasanii na Ben aliniaga anaenda kazini, kwa hiyo najua yuko kazini siwezi kuingilia mambo ya kazi,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -