Friday, November 27, 2020

BIERBER: INSTAGRAM NI MTANDAO WA SHETANI

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

 LOS ANGELES, Marekani


KWELI mwanamuziki Justin Bieber haishiwi vituko na hilo limejidhihirisha kwa kauli aliyoitoa siku chache zilizopita.

Wiki kadhaa zilizopita, kamera za mapaparazi zilimnasa akimtwanga ngumi ya uso shabiki wake.

Safari hii Bierber ametoa kauli tata kuhusu mtandao wa kijamii wa Instagram ambao umejizolea umaarufu mkubwa.

Baada ya kufuta akaunti yake ya Instagram Agosti mwaka huu, ameibuka na kudai kuwa mtandao huo ni kwa ajili ya shetani.

Bieber aliyasema hayo wakati alipokuwa akipiga show jijini London na hiyo ilikuwa Novemba 29, japo taarifa hizo zimeibuka siku chache zilizopita.

Byopta huyo alitamka wazi kuwa ana uhakika wa asilimia 90 kuwa mtandao huo umeandaliwa kwa ajili ya matumizi ya shetani  na si vinginevyo.

Mkali huyo wa kibao ‘Sorry‘, alisema wala hana mpango wa kurejea kwenye matumizi wa mtandao huo.

“Nafikiri jehanamu ni Instagram.Nina uhakika wa kama asilimia 90. Tunapelekwa jehanamu na tunafungwa na Instagram,” alisema.

Hata hivyo, wapo baadhi ya mashabiki wameanza kutilia shaka afya ya akili ya mwanamuziki huyo hasa kwa kitendo alichokifanya hivi karibuni ambapo alimtwanga ngumi shabiki wake katika onesho la jijini Barcelona.

Katika video hiyo iliyotapakaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, Bierber mwenye umri wa miaka 22, alionekana akirusha ngumi kupitia kwenye dirisha la gari lake.

Lakini pia, ni kipindi hicho ndipo alipoamua kuondoka jukwaani wakati alipokuwa akitumbuiza kwenye Ukumbi wa Manchester Arena, Uingereza.

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -