Friday, October 23, 2020

Big Show: Kaeni chonjo, ‘The Undertaker’ anarudi sasa

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NEW YORK, Marekani

MKALI wa mieleka, Big Show, ameibuka na kusema kuwa ‘The Undertaker’ atarudi ulingoni siku si nyingi kadiri afya yake itakavyozidi kukaa sawa.

Ziliibuka tetesi kuwa mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 51 asingerudi tena ulingoni tangu alipopambana kwa mara ya mwisho kwenye WrestleMania 32, alipomchapa Shane McMahon, kwenye mtanange wa ‘Hell in a Cell’ Aprili mwaka huu.

Mashabiki wake walikuwa na wasiwasi juu ya afya ya Undertaker aliyedumu mchezoni kwa muda wa miaka 26, alipoonekana na magongo baada ya kufanyiwa upasuaji wa nyonga, lakini hofu hizo zilitoweka walipomwona kwenye hafla za kusherehekea ubingwa wa NBA wa timu ya kikapu ya Cleveland Cavaliers.

“Hapana, sidhani kama Undertaker amefikia tamati ya maisha yake ya mieleka. Kadiri afya yake itakapokaa sawa atarudi tu ulingoni. Nafurahi kumwona katika matukio maalumu kwa sababu ni kipenzi cha watu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -