Thursday, November 26, 2020

Billnas: Nandy ana mkwanja balaa

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

Billnas: Nandy ana mkwanja balaa

NA MWANDISHI WETU

MSANII wa Bongo Fleva nchini, William Lyimo ‘Billnass’, amesema kuwa mchumba wake, Faustine Mfinanga ‘Nandy’, anaingiza fedha zaidi yake.

Akizungumza na Papaso la Burudani, Billnas alisema kuwa Nandy ambaye naye ni mwimbaji wa muziki, amekuwa akibebwa na shoo nyingi anazofanya.

“Nandy anaingiza pesa (fedha) zaidi yangu, anapata shoa nyingi na ana miladi mingi katika maeneo mbalimbali ndio maana yupo vizuri,” alisema Billnas.

Hata hivyo, alisema kuwa pamoja na Nandy kuingiza fedha nyingi, lakini amekuwa na matatumizi mengi zaidi yake, hivyo kutumia kiasi kikubwa cha ‘mkwanja’wake huo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -