Sunday, November 29, 2020

BLAGNON AWEKWA CHINI YA UANGALIZI

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA SAADA SALIM, ZANZIBAR

MSHAMBULIAJI wa Simba, Fredrick Blagnon, ataendelea kushindwa kuitumikia timu hiyo baada ya kupewa mazoezi maalumu chini ya uangalizi mkubwa wa daktari wao.

Blagnon aliumia nyama za paja katika mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Ndanda, uliopigwa mwaka jana kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona.

Akizungumza na BINGWA jana, kocha msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja, alisema benchi la ufundi limemwondoa katika programu ya mazoezi magumu.

“Hatakuwepo kwenye kikosi kitakachocheza leo na Azam kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi kwani ameanza mazoezi mepesi leo (jana), baada ya kutakiwa kupumzika wiki mbili na sasa amepewa wiki mbili tena,” alisema Mayanja.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -