Thursday, October 29, 2020

BMT KUFUNGIA VYAMA VYA MICHEZO

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA WINFRIDA MTOI

BAADHI ya vyama vya michezo nchini vipo hatarini kufungiwa na Baraza la Michezo la Taifa (BMT), endapo vitashindwa kupeleka kalenda ya matukio ya  mwaka 2017 kwa muda uliopangwa.

Akizungumza na BINGWA juzi, Ofisa Habari wa BMT,  Najaha Bakari,  alisema muda waliotoa kwa vyama hivyo kuwasilisha kalenda zao uliisha na kuongezwa tena lakini hadi sasa kuna vyama vipo kimya.

Alisema siku zilizobaki kwa muda ulioongezwa ni mchache, hivyo chama kitakachoshindwa kukamilisha jambo hilo kitachukuliwa hatua kali au kufungiwa kabisa kujihusisha na michezo.

“Mwisho wa kuwasilisha kalenda za matukio ya mwaka 2017 kwa vyama vya michezo ilikuwa ni Januari mwaka huu,   baada ya kuona wengi hawajaleta tukaongeza muda ambapo ikifika katikati ya mwezi huu tutaanza kuchukua hatua kwa wale waliokaidi agizo hilo,” alisema Najaha.

Alisema kuwa mwaka huu BMT hawatakuwa na huruma kwa chama chochote kitakachoenda kinyume na sheria, ili kuondoa ubabaishaji uliokithiri katika vyama vingi vya michezo.

“Hadi sasa ni vyama 15 vimeweza kuwasilisha kalenda zao za matukio ya mwaka huu, hatujui hivyo vingine vinasubiri nini wakati muda unaenda.

Baadhi ya vyama vilivyowasilisha kalenda ni riadha, kuogelea, mashua, karate, mieleka, kikapu, walemavu na baiskeli.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -