Thursday, October 29, 2020

Bosi Arsenal aingiza bil. 5/- kwa mwaka

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LONDON, England

MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Arsenal, Ivan Gazidis, ameshika nafasi ya pili kwenye orodha ya mabosi wanaolipwa mishahara minono pale England.

Kwa mujibu wa takwimu, mwaka jana Gazidis aliweka mfukoni pauni milioni 2.648 (zaidi ya Sh Bil 5) na hiyo inamfanya kuwa bosi anayelipwa fedha nyingi nyuma ya Ed Woodward wa Manchester United.

Hata hivyo, akaunti ya Gazidis itatuna zaidi miezi kadhaa ijayo, kutokana na mikataba mipya ya wachezaji wa timu hiyo.

Arsenal wanahaha kuhakikisha inawapa mikataba mipya mastaa wake Mesut Ozil na Alexis Sanchez na kama hilo litafanikiwa, basi bosi huyo naye atavuta chake.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -