Sunday, November 29, 2020

BOSI SINGIDA UNITED KUFUTA UDUGU YANGA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAINAB IDDY

SINGIDA United wamesema hawatakuwa na udugu na Yanga na kama kuna mtu anayebisha asuburi waone watakapokutana Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao.

Timu hiyo ilirejea Ligi Kuu Bara ikitokea Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara msimu huu inadaiwa kuwa ni tawi la Yanga.

Akizungumza na BINGWA juzi, Katibu Mkuu wa Singida United, Abdulrahman Sima, alisema wanaodai wao ni tawi la Yanga, jambo la kawaida lakini hawatakuwa wepesi kwa kufungwa.

Sima alisema Yanga wamehusishwa kuwa ni tawi la timu nyingine za Toto Africans, Africans Sports, lakini hiyo haimaanishi watakapokutana na wao watachukua pointi za bure.

“Singida imekuja ligi kuu kuleta changamoto na si kuwa wasindikizaji,  hivyo lazima tuwe na timu itakayopambana ili tuendelee kusalia katika ligi baada ya kushuka daraja kwa takribani miaka 16,” alisema.

Timu hiyo inatarajia kufundishwa na kocha wa zamani wa Yanga, Hans van der Pluijm, akisaidiana na Felix Minziro na Jumanne Challe, ambao alifanikisha kuirejesha kwenye ligi kuu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -